Chelsea yaanza mazungumzo ya kuwasajili Aubameyang na Frenkie de Jong

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Pierre.JPG

Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund.

Aubameyang alijiunga ba Barcelona, February 2022 na anatamani kuendelea kubaki hapo lakini anaweza kuuzwa ili klabu yake ikusanye fedha za kufanya usajili wachezaji wengine.

Licha ya kumsajili Raheem Sterling kutoka Man City lakini Tuchel anahitaji mshambuliaji wa daraja la kwanza baada ya kuondoka kwa Romelu Lukaku ambaye amejiunga na AC Milan kwa mkopo.

De Jong amekuwa akiwaniwa na Manchester United muda mrefu lakini imeripotiwa hana mpango wa kujiunga na timu hiyo, hivyo Chelsea wameongeza kasi ya mazungumzo ili kufanikisha mchakato huo wa kumsajili.

=========================

Chelsea 'open talks over a shock swoop for Pierre-Emerick Aubameyang', with Barcelona looking to sell veteran forward - who worked with Thomas Tuchel at Dortmund - just six months after signing him so they can register new arrivals

Chelsea have reportedly opened talks with Barcelona as they are interested in signing Pierre-Emerick Aubameyang before the transfer window closes.

Chelsea have already acquired the services of Raheem Sterling but Thomas Tuchel is eager to add another forward to his ranks following the departure of Romelu Lukaku.

Having only joined in February, Aubameyang wants to stay at Barcelona but he is a player they would be willing to move on to raise funds to register their new signings.

According to Fabrizio Romano, Chelsea identified Aubameyang as a potential new striker and contacted Barcelona to begin negotiations.

New Chelsea owner Todd Boehly held talks with Barcelona chiefs earlier this summer over potential transfers.

The Premier League giants have not yet tabled an official offer for the former Arsenal captain. However, Tuchel has a close relationship with Aubameyang from their time at Dortmund and Chelsea could try to use that to their advantage.

Boehly will also push to get a deal confirmed as he is eager to deliver everything Tuchel wants - including a left back, right back, centre back, midfielder and forward.

Boehly has not had as much success as he would have liked during the summer transfer window so far.

Source: DailyMail
 
Well watakuwa wamelamba dume kwa Auba, .... FDJ nasikia natakiwa pia na Man UNITED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom