Emanuel Macron akutana na Paul Kagame na Felix Tshisekedi wakutana kwa mazungumzo ya Amani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja

Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka "kuimarisha ushirikiano wa kudumu ili kupambana na kukomesha shughuli za makundi yenye silaha katika eneo la Maziwa Makuu,"

Aidha, Rais Tshisekedi kupitia Mtandao wa Twitter aliandika kuwa “wamekubaliana kufanya kazi pamoja ili kuwaondoa waasi wa M23 kwenye maeneo yaliyokaliwa na watu waliokimbia makazi yao warudi haraka iwezekanavyo

.................................................

French President Emmanuel Macron met the leaders of Rwanda and the Democratic Republic of Congo amid tensions between the two East African neighbours over rebel activity near their common border.

The three leaders met on Wednesday on the sidelines of the UN General Assembly in New York.

The leaders want to "intensify lasting co-operation to fight impunity and put an end to activities of armed groups in the Great Lakes region," state-owned France 24 quoted the French presidency as saying.

The Congolese presidency tweeted

they had agreed to work together for M23 rebels to withdraw from occupied areas "as soon as possible" and for displaced people to return.

The rebel group has controlled parts of DR Congo’s northern province since June.

The meeting came moments after Rwandan President Paul Kagame told the General Assembly that “blame game doesn’t solve problems”.

Mr Kagame supported a regional initiative to end the resurgence of fighting in eastern DR Congo but said it would “require consistent financial support from the international community”.

In his address to the General Assembly on Tuesday, Congolese President Félix Tshisekedi denounced Rwanda's support for M23 rebels.

Rwanda has consistently denied supporting the group.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom