mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kilimomaarifa.tajiri

    JamiiForums Tanzania Jipatie pdf (softcopy) za mazao mbali mbali

    Salaamu Karibu ujipatie PDF za mazao mbali mbali, Zipo PDF za mazao 11 (1. Viazi Mviringo 2. Hoho 3. Tikiti Maji 4. Vitunguu Maji 5. Parachichi 6. Kabichi 7. Pilipili Kali 8. Karoti 9. Bamia 10. Nyanya, 11. Tango). PDF zimeeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu zao husika, kuanzia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea Nichek inbox au reply uzi huu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea. Nichek inbox au reply uzi huu
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Upandaji Mazao Hifadhini ni Ukiukwaji wa Sheria

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo sheria itachukua mkondo wake Ameyasema hayo leo...
  5. Azizi Bin Adam

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

    HESHIMA KWENU WAKUU Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo; 1. Sehemu ya kununua 2. Soko 3. Mtaji 4. Changamoto zake 5. Utaratibu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mazao yangu mwaka huu nitauza bei ghali sana

    Ni msimu wa kilimo hasa kwa zao la mpunga kwa hapa nilipo. Nipo kijijini. Kuna furaha kubwa sana kwa sisi wakulima mazao yakipanda bei sokoni! Thamani yetu na hali ya maisha inapanda sana. Kundi ambalo lilisahaulika na kuwa kundi kwaajili ya kulisha watu mijini huku tukiumia mpaka tunaitwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  8. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Fursa za Mazao ya Bustani Dodoma

    Wakuu amani iwe kwenu. Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k. Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, kupanda kwa bei za mazao kunaweza kumnufaisha mkulima ikiwa bei za bidhaa nyingine zimepanda?

    Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu, Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo. Karibuni
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Babati

    Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara. Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao

    Msaada jamani, kwa wale wafanya biashara wazoefu wa kusafirisha mazao nilikuwa nahitaji kujua jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atembelea Shirika la Mzinga, apongeza kuongezeka uzalishaji mazao

    Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga. Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Africa haiwezi kujlisha kama inalima mazao kama mahindi na mpunga badala ya Ulezi na Mtama.

    Habarini ya sherehe za uhuru? Mtu ambaye hawezi kujilisha hawezi kuwa huru. Kila mazao ya chakula kuna hali ya hewa inafaa kuyalima. Mahindi yalikuwa yanastawi kwenye temperate climates huko America, yaani kusiko na baridi kali ya barafu lakini kuna mvua nyingi, ngano nayo hivyohivyo. Mchele...
  16. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mama Samia ndio kipindi cha Wakulima wa Mazao ya Nafaka kutoka kimaisha

    Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi. Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
  17. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa. Ndugu...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 90% ya Viuatilifu vilivyopo Tanzania vina Sumu inayobaki kwenye mazao

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wa parachichi Tanzania (ASTA), Rebeca Hesewa amesema changamoto inayowakabili wakulima kunufaika na masoko ya nje ni kukosekana kwa ubora wa mazao wanayozalisha. Kukosekana kwa ubora huo, alisema kunatokana na aina ya viuwatilifu wanavyotumia wakati wa...
  19. Mzawa_G

    JamiiForums Tanzania Mazao yanayolimwa katika jimbo la Alaska huwa ni makubwa sana

    Mwanga wa Jua unacheza katika nafasi kubwa sana katika ukuwaji mzima wote wa mimea kuanzia nyakati za mbegu, udogo wake na mpaka nyakati zile za ukomavu wake. Katika kuhakikisha ukuwaji wa mmea ni lazima mchakato wa kisayansi unaoitwa " Photosynthesi " ufanyike ambapo ni kitendo cha mmea...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

    Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012. Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Back
Top Bottom