mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka mwisho

    Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza. Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
  2. R

    SoC02 Ngono na mazao ni biashara ya kubadilishana, yaani batter trade ya vijijini hivi sasa

    Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini. Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha . Iko hivi ,kule...
  3. Kigamba

    SoC02 Mazao Mkakati Tanzania

    Mazao mkakati ni mjumuhisho wa mazao ambayo uzalishaji wake umekua hafifu"mdogo" kulingana na huitaji wake sokoni yanaweza kua ya chakula au biashara. Hivyo serikali kuandaa mikakaati kwaajili ya kukuza na kuamasisha uzalishaji wake. Mfano; pamba, korosho, chai, karafuu, mkonge, michikichi na...
  4. I

    Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  5. D

    Tutofautishe bei ya mazao, wingi wa mavuno na kuuza mazao nje ya nchi

    Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread. Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo. HOJA KUU Watu...
  6. chinchilla coat

    Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda. Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
  7. M

    Vipi huko ulipo, bei ya mazao ipoje?

    Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja bei tunayojisikia, nguruwe wanakuja kukuomba uwauzie, naona huu mwaka sio haba gharama za mbolea...
  8. S

    Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  9. Lanlady

    Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  10. let the caged bird sings

    Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

    Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana. Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama...
  11. E

    Njia Sahihi ya kumpima Bashe ni Exports and Imports katika mazao ya kilimo

    Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda. sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
  12. I

    Mazao gani unayoweza kulima pamoja na mihogo na yakaongeza rotuba ya udongo?

    Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo. Msaada, ni mazao gani hayo?
  13. Artzio

    Naomba kujuzwa bei za kusafirisha mazao

    Bei za kusafirisha mazao kutoka sokoni (mikoani) mpaka sokoni Dar/ Masasi mwezi May 2022 zikoje hapo ulipo
  14. Alex korosso

    Mwenye Kumbukumbu ya miaka 1974 ya ukame na uhaba wa mazao

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida. Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu...
  15. Kamgomoli

    Uzi wa kupeana Updates ya bei za mazao

    Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February. 1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg 2. Mahindi Gunia Tsh 70,000 3. Maharage ya njano Tsh2000/kg 4. Vitunguu Tsh 210,000 kwa gunia la debe 8 5. Nyanya kwa tenga Tsh 20,000.
  16. gimmy's

    Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  17. S

    Msaada wa bei na soko la mazao haya

    Wadau wazoefu kwenye kilimo cha bustani naomba kupata ushauri kuhusu kilimo hicho,bei na masoko ya mazao haya. 1.kindola (matango madogo). 2.Kalela 3.Maharage ya kichina 4.Kisola 5.Pilipili maricha Note: Baadhi ya majina yaliyotumika ni ya asili
  18. May Day

    Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  19. M

    Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  20. J

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
Back
Top Bottom