Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!

Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe mvua au wingu likija wao ni neema tu!

Naomba mnijuze nikanunue nini ili kwa kutumia dishi la zuku niweze kuhamia azamu?

Naombeni ufafanuzi! Karibuni wenye taarifa kamili
 
Ngoja nikupe namba ya mtaalamu wa hayo mambo akusaidie

Ijaribu hii number sijui ndio yenyew maana sijaisave.

0676878783
 
Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!

Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe mvua au wingu likija wao ni neema tu!

Naomba mnijuze nikanunue nini ili kwa kutumia dishi la zuku niweze kuhamia azamu?

Naombeni ufafanuzi! Karibuni wenye taarifa kamili
Inawezekana,lazima uwe na receiver ya Azam(king'amuzi) then ataelekeza uelekeo wake.Kila dish lina uelekeo wake ili kupata chanels.
 
Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!

Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe mvua au wingu likija wao ni neema tu!

Naomba mnijuze nikanunue nini ili kwa kutumia dishi la zuku niweze kuhamia azamu?

Naombeni ufafanuzi! Karibuni wenye taarifa kamili
Dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya azam kama litaelekea uelekeo ilipo satelite wanayotumia Azam, lakini ili uweze kuona vipindi vya Azam ni lazima uwe na kin'gamuzi chao .
Inawezekana fundi wako wa dish anapata signal dhaifu sana ndio sababu wingu kidogo signal zinapotea jaribu kubafilisha funfi pamoja na location uliyoliweka hilo dish
 
Dishi la ziku linaweza kunasa mawimbi ya azam kama litaelekea uelekeo ilipo satelite wanayotumia Azam, lakini ili uweze kuona vipindi vya Azam ni lazima uwe na kin'gamuzi chao .
Inawezekana fundi wako wa dish anapata signal dhaifu sana ndio sababu wingu kidogo signal zinapotea jaribu kubafilisha funfi pamoja na location uliyoliweka hilo dish
Nimejaribu vyote hivyo,kumbuka Mimi ni mteja wa zuku na star times kwa muongo sasa
 
Upo eneo gani? Dishi unatumia la ukubwa gani?
Jatibu kutumia dish la 120cm. Halisumbiliwi sana na mawingu
 
Naomba ufafanuzi,ina maana huu usumbufu wote ninaoupata ni kwa sababu dish langu siyo la 120cm?
 
Maeneo uliyopo kama umeupa mgongo mlima and the likes ni maeneo ambayo by default signal zinakuwa dhaifu. kuna namna mbili za kufanya ,9moja ni hiyo ya kuwa na dish kubwa 120cm ku band, Na namna ya pili ni kupata lbn yenye uwezo mkubwa. njia ya kwanza ni rahisi na ya uhakika zaidi kuliko hiyo ya pili
 
OK!lbn ni nini?
 
Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!

Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe mvua au wingu likija wao ni neema tu!

Naomba mnijuze nikanunue nini ili kwa kutumia dishi la zuku niweze kuhamia azamu?

Naombeni ufafanuzi! Karibuni wenye taarifa kamili
Ndio inakubali fresh tu
 
Tumia Dish ya DSTV ila LNB Tumia ya Azam at least kidogo mambo yanaweza kukaa sawa ila kama ingekua DSTV Ndio inakuleta Shida ningekushauri ubadilishe ile LNB utumie ile ya Nje nne ina uwezo mkubwa shida Azam hana RNB ya njia Nne kwahyo apo soloution ni kubadilisha Dish Na kutumia RNB ya Azam
View attachment 2779345
 
Maeneo uliyopo kama umeupa mgongo mlima and the likes ni maeneo ambayo by default signal zinakuwa dhaifu. kuna namna mbili za kufanya ,9moja ni hiyo ya kuwa na dish kubwa 120cm ku band, Na namna ya pili ni kupata lbn yenye uwezo mkubwa. njia ya kwanza ni rahisi na ya uhakika zaidi kuliko hiyo ya pili
Tumia Dish ya DSTV ila LNB Tumia ya Azam at least kidogo mambo yanaweza kukaa sawa ila kama ingekua DSTV Ndio inakuleta Shida ningekushauri ubadilishe ile LNB utumie ile ya Nje nne ina uwezo mkubwa shida Azam hana RNB ya njia Nne kwahyo apo soloution ni kubadilisha Dish Na kutumia RNB ya Azam
View attachment 2779345
Wajuzi wetu huu ujuzi mmeupatia wapi?? Mnatuchanganya!! Mara LBN Ohooo sio ni LNB aaah hapana ni RNB!! Jamaniii

Mbona mnatupiga kama Israel anavyowapiga waaarabu ??
 
Back
Top Bottom