mawifi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tman900

    Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk) Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu...
  2. S

    Mawifi inakuwaje? Kunakuwa na kutokuelewana na mke wa kaka yao

    Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
  3. B

    Mahusiano Kati ya Kijana, Mama wa Kijana, dada wa Kijana na mke wa Kijana

    Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa. Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani na upendo baina ya kijana, Mama wa kijana na (ma)dada wa Kijana. Lakini baada ya kijana kuoa na...
Back
Top Bottom