Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na hata kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa rais wa zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau.
Tshisekedi amesema kuna baadhi ya Mawaziri ambao...