Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,691
218,201
Kupata nakala yako ya mtandaoni (eGazeti) tembelea www.egazeti.co.tz au pakua Ap ( 792 X 640 ).jpg

Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
 
Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.

Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?

Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafasi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.

Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.

Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.

Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
 
Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
 
Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.

Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?

Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafsi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.

Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.

Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.

Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Haupo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom