Amesikika mwamba huyu wa Kigali:
1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara.
2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi:
3. Kwamba kumbe tokea 1994 amekuwa akiendelea kitini kwa maumivu makali:
4. Kwamba hata hivyo amekubali Tena, kwa maumivu makali mno kuwa July 2024 anakwenda mitano mingine.
5. Yawezekana kuna ka ukweli, kwa maana kuondoka madarakani kwa wakuu wengi haijawa rahisi sana; kuwa Kumbe ni kwa wingi wa huruma zao tu.
6. Ikumbukwe:
a) Bila Nyerere (RIP) kukomaa kivyake vyake, Mwinyi angekwenda mitano mingine 1995.
b) Bila Mkapa (RIP) kukomaa kivyake vyake, komando Salmin angekwenda mitano mingine.
c) Mkapa (RIP) naye akiwa ikulu aliwahi kusema: "msinione nanenepa, lakini cha moto nakiona."
d) Nyerere (RIP) naye akasema: "ikulu ni matatizo."
e) JPM (RIP) naye alishaandaa mazingira tukaambiwa atake asitake (tutake yusitake), 2025 mitano mingine!
7. Kwamba kina Putin, Xi, Kim, Museveni na wa namna hiyo wangali wanaendelea kukomaa, yawezekana ni kwenye kujitolea kuibeba misalaba hii kwa niaba ya watu wao.
Wasibezwe!
Source: NTV
_______
Habari zaidi Iko hapa:
Kagame speaks out on Rwanda after him