mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  4. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya mtanzania Wisconsin US miaka ya 90

    Ni miaka mingi imepita tangu hili tukio limetokea kwa kaka kumuua dada yake na kufungwa maisha jela hata baada ya rufaa adhabu haikupungua na hadi sasa anatumikia kifungo. Kwa ufupi mauaji yanahusu kisa cha kusikitisha cha mwaka 1999 ambapo Mwivano Mwambashi Kupaza, mwanafunzi wa Kitanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukumbukwa kama Muasisi wa SMZ lakini mabaya na mauaji aliyoyafanya Abeid Karume hayawekwi wazi

    Watu walionekana kama wana akili na ushawishi wakati Karume ni rais wa Zanzibara waliuliwa na kuuwawa na utawala wa Karume Mfano ni baba yake na Humud na Kassim Abdula Hanga. Utawala wa Karume ulijaa mauaji na mambo mabaya ya kutisha. Ambayo hayawekwi wazi.
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025

    Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania. Muktadha wa Kumbukumbu Hii Tukio la Msingi: Oktoba 29, 2025, ilikuwa siku ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa katiba chanzo cha mauaji Oct 29

    Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  9. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  10. R

    JamiiForums Tanzania China, Urusi, Korea Kaskazini na Hamas walaani mauaji ya Ayatollah Khamenei

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya kibinadamu na sheria za kimataifa. Putin alitoa salamu za pole kwa Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo Ila Nina maswali najiuliza 1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya aliyekuwa dereva wa wanamgambo wa Kihutu Mauaji ya kimbari Rwanda kuendeshwa Paris

    Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris. Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Walizoea kuleta documentary za Rwanda na Congo, sasa rasmi zipo za Tanzania

    Tuwashukuru CNN, Al Jazeera na BBC kwa kuweka sawa documentary za mauaji ya katika nchi ya Tanzania Kila ukifika Uchaguzi, walizoea kutishia wa-TZ kwa documentary za mauaji ya Rwanda, na Congo. Mungu Ibariki ICC huyu awe rais wa kwanza ktk EAC kujibu Mashtaka...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Vatican yasisitiza kufanyika kwa uchunguzi huru kufuatia mauaji ya Oktoba 2025

    Kutokana na upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusiana na ziara ya Waziri Kombo, huko Vatican; Vatican na Kanisa Katoliki Tanzania kwa kupitia taasisi yake za Kanisa, ya Wasomi wataalam, imetoa ufafanuzi kuepusha upotoshaji: 1. Waziri Kombo alimweleza Papa kuwa Samia ameunda tume kuchunguza matukio...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 29/01/2026 ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya MO29

    Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia ametoa hotuba. Hotuba Kamili ya Waziri Sa'ar: "Ninasimama hapa kama mwakilishi wa Wayahudi...
Back
Top Bottom