Kutokana na ushahidi uliowasilishwa mahakamani na taarifa zilizotolewa baada ya hukumu, historia ya Simon Levy inaonyesha kuongezeka kwa ukatili wa makosa yake kwa miaka kadhaa, huku akiachwa huru mara kadhaa kutokana na mapungufu ya mfumo wa haki.
Historia yake tangu alipokuwa kijana
Taarifa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
Wanabodi
Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu..
Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba moka Afrika. Besigye anaozeamjela kwanuonevu kama Lisu.. Eti huyo atoe jJaji kuja kuona ukweli...
Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025.
Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI.
Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu wake siku za Uchaguzi kwa Maelefu vile, alafu akabaki salama na akatawala na Dunia ikamchekea, Hamnaaaa...
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
Mahakama Kuu imemuachilia huru dereva wa mbio za magari, Maxine Wahome, katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake wa zamani, Assad Khan, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake bila shaka yoyote.
Katika uamuzi uliotolewa Jumanne, Julai 28, 2026, mahakama ilisema...
Wiki iliyopita inaweza kuwa siku mbaya kwa Jeshi la Polisi Kenya, baada ya ushahidi wa video za usalama (CCTV) katika kesi ya mauaji ya mwalimu na mwanablogu, Albert Ojwang, kuwaumbua polisi waliodaiwa kujaribu kuficha mauaji hayo.
Video hizo zilinasa matukio yote kuanzia Ojwang anafikishwa...
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.
Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata...
Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Dk Paula Cristina Roque
Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South).
****
Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
Usafiri wa boda boda umekuwa kipimbilio la vijana wengi kupata kipato.
Wengi wanaofeli shuleni na wale wanaohitimu na kukosa ajira hukimbilia kwenye shughuli hii ya kusafirisha watu na/au mizigo.
Usafiri wa boda boda una changamoto nyingi ambazo humpata mwendesha boda boda na abiria wake pia...
Ushahidi umekamilika sasa kilichobaki ni namna ya kumpeleka ICC ahukumiwe.
Alipoulizwa.kuwa Bashir mpaka leo hajapelekwa huko akajibu: Ni mamlaka za ndani kumkabidhi kwetu tumshughulikie. Ameitaka UN kuwa na utaratibu wa kumkabidhi mualifu kwa nguvu ICC.
Sasa napata MASHAKA! Hata akipatikana...
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ.
Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.
📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana
Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika.
CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.