mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni suala la kiasili. Kutumia jeshi na kufanya utekaji na mauaji hakuwezi kuisaidia CCM.

    Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lingekuwa na katiba inaruhusu wananchi kumuwajibisha rais haya yote ya utekaji na mauaji yasingetokea

    Katiba ya sasa haifai maana ilitungwa na WanaCCM 22 na haiwapi wananchi madaraka juu ya taifa lao baada ya uchaguzi. Taifa letu linatakiwq liwe na katiba ambayo itawapa mamlaka wananchi kumfuta kazi rais mara baada ya kushindwa kutekeleza majukumu yake. Tuwe na katiba ambayo baada ya rais...
  10. Tareq20

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania 518 waliuwa,+ 10,000 waliokamatawa na kusamehewa si wanatosha au Sasa tunatafuta walio ua na walio toa amri ya mauaji?

    Nijibuni swali LANGU bhandungu.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mke asimulia alivyokabidhiwa Mguu na Mkono wa mumewe aliyeuawa kikatili mgogoro wa Ardhi Rombo

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja aitwae Thomas Silayo, mkazi wa kata ya Tarakea Motamburu wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kuuliwa na mtu anayedaiwa kuwa ndugu yake, wakati akisubiria muda wa kuanza kikao cha kunyoosha mipaka, kutokana na yeye kushinda kesi ya ardhi iliyodumu kwa zaidi miaka...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pwani lawakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji Vikawe

    Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi Katika kifungu cha 5 (1), Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linatimiza wajibu wake kuhakikisha Usalama wa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  18. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
Back
Top Bottom