Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameandika kuwa kwenye baadhi ya maeneo duniani, kiwango cha mauaji ya wanawake ni sawa na wanaokufa katika uwanja wa vita.
Aliandika hayo siku moja kabla ya Siku wa Kimataifa ya Kupunguza Ukatili dhidi ya Wanawake, ambayo huadhimishwa...