mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 10, 2023 02:53 UTC Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

    Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana. Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mauaji ya mraibu katika kituo cha Arusha Sober House

    Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa. Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana anayeitwa Tariq. Juzi kuna kijana anayechunga Mbuzi huwa nina mazoea ya kumpa matunda alikuja akiwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT. Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
  7. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
  8. JamiiForums Tanzania Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro. Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

    Phiri Chama Saidoo Kibu Ngoma Kanoute Tshabalala Chemalon Inonga Kapom (Kipa Yeyote) Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
  10. JamiiForums Tanzania Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

    Friends and Enemies, Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal...
  11. JamiiForums Tanzania Mjane wa mwanahabari wa Pakistan anaishtaki Serikali ya Kenya kwa mauaji ya mumewe

    Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe. Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif. Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

    Tumeona wachezaji kadhaa waliojitokeza kulaani mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza wakitishiwa kufukuzwa kwenye klabu zao na kusimamishwa, haswa Ujerumani ambapo zaidi ya wachezaji watatu wameshasimaishwa. Mchezaji mahiri na mashuhuri Duniani anaechezea Liverpool amejitokeza rasmi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  14. JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari Sudan, weusi wasio na asili ya Kiarabu wasakwa na kuchinjwa

    Haya mauaji yamejirudia kama yalivyokua 2003, ambapo wapiganaji wa Kiarabu huzunguka mlango kwa mlango na kuchinja mweusi yeyote asiye na asili ya Kiarabu.... ======================== The governor of Darfur on Tuesday called for an international investigation into violence against residents of...
  18. JamiiForums Tanzania Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia mauaji haya yasitokee. Mnyeti hili ni lako!

    Wanajamvi, wazee wetu walituasa kwamba kinga ni bora kuliko tiba! Kambi ya wavuvi Migongo Kijiji cha Kisaba kata ya Maisome Sengerema mkoani Mwanza hali ya usalama si shwari na damu inaweza kumwagika muda wowote toka Sasa. Kambi hii inaweza kuongoza mkoani Mwanza kwa uvuvi haramu kwa kutumia...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…