Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,976
32,380
Wanaukumbi.

Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany.

Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.

 

Attachments

  • twidown.mp4
    24.9 MB
Maskini wakristo wamepigwa mkwara huko kwa kutetea wapalestina wenzao.
Wakristo wa kiafrika wametekwa nyara kwa kuletewa makanisa ya kisabato.Wanajiita ni wakristo kumbe ni wayahudi.
Dini zote zililetwa.
Allah ni mungu wa kiarabu na anasikia lugha moja tu ya kiarabu.
Wewe ngozi nyeusi unayejifananisha na mwaarabu, bila kutumia lugha ya mwaarabu hakusikii. Hata bila kuvaa nguo za waarabo allah hakutaki.
 
Dini zote zililetwa.
Allah ni mungu wa kiarabu na anasikia lugha moja tu ya kiarabu.
Wewe ngozi nyeusi unayejifananisha na mwaarabu, bila kutumia lugha ya mwaarabu hakusikii. Hata bila kuvaa nguo za waarabo allah hakutaki.
Sasa si bora waisilam wanajipendekeza kwa waarabu kwa sababu wanashea dini,
kuliko nyinyi mnao jipendekeza kwa wayahudi hali yakuwa hamna uhusiano wowote wa kidini.
 
🤔hii video inawezekana ni ya siku nyingi haihusiani na vita ya sasa
Na ni Orthodox Jews sio Christians.
Orthodox Jews ndiyo wale wenye siasa Kali kabisa hawamtambui palestina.
Naona mgalatia wa Kimara hataki kuamini…

 

Uislamu ni ugaidi.
Bora nijipendekeze kwa Waisrael maana kuna watanzania wenzangu wametekwa na wapalestina.
Ulokole ni ugonjwa wa akili na ndio maana mnaamini eti chumvi ya upako wa mwamposa inaweza kukufanya ukawa tajiri bila kufanya kazi.

Sasa unajipendeka kwa wayahudi hali ya kuwa hamna mahusiano yeyote ya kiimani? Basi nenda wakuoe.
 
Mbona wengine hawajaguswa?.
Unajua alifanya nini?
Israel destroys objects associated with Christianity in Gaza

The IDF not only bombs mosques, but also damages churches and other Christian institutions in the enclave. Thus, on November 1, Israel bombed an Orthodox cultural center in the Tel el-Hawa area in the Gaza Strip.

The consequences of the attacks were shown by military correspondent Said Sverki - the Orthodox center turned into ruins.
 
Back
Top Bottom