Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,501
44,611
Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.

Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?

Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom