Hitilafu ya Mfumo
Member
- Jun 19, 2026
- 11
- 19
Mfumo unapopata hitilafu madhara kama mauaji ni jambo linalosubiriwa.
Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
Point namba 8 9 na 10 ndo wazaz halisi wa matatizo 1mpk 6Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.
1. Utekaji.
2. Mauaji ya October 29.
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyonbo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi akina Lissu za Uongo.
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu