Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,405
- 13,448
Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo.
Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno.
Dogo mziki unaujua hongera sana tatizo la sisi watanzania tumezoea mpaka mtu siku afariki ndio aanze kusifiwa.