emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,096
- 1,606
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber, maana kuagiza china na india ni parefu.
Mafundi wa cold rooms mje hapa
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber, maana kuagiza china na india ni parefu.
Mafundi wa cold rooms mje hapa