matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Picha mbali mbali za matunda ya kisasa

    Je haya ni bora kwa afya ?
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

    Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku. Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo Halafu tutakuambia Lina faida gani kwenye mwili wako. Kariba. Tunda hili ni staferi pamoja na Topetope. Faida zake Papai...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sambusa za nyama na juice ya matunda

    Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama MAHITAJI Unga wa ngano Nyama Hoho Karoti Chumvi Mafuta Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu Baada ya hapo ngano yako ulio...
  4. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

    Salam wakuu. Ninahitaji mtu wa kunisaidia kupata matunda yake. Mwenye access nao naomba anicheck DM. Nina uhitaji kwa ajili ya matibabu.
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Pilau kachumbari na matunda

    Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu Nikawa nasubir...
  6. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tule mishikaki, ndizi, viazi,kachumbari na matunda

    Leo nikaona vyema kuandaa chakula hiki chepesi sana kupika Kwanza nilianza kumenya viazi kama unavyo ona Niliacha vichuje maji vizuri baada ya kuosha then nika menya ndizi na kuweka kwenye maji ili zisiwe nyeusi Kabla ya hapo nili andaa nyama yangu mda kidogo nikaweka...
  8. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kweme ni matunda ya aina gani?

    Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

    Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya. Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi 2015/2016 mara tu baada ya Magufuli kuingia madarakani. Sasa wale vijana watekaji wapo bado pamoja...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba ningekuwa Rais wa Nchi hii ningefanya mengi lakini haya kwa uchache wake ningewafanyia wananchi ili wafaidi matunda ya Nchi yao.

    Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa. Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii basi ningefanya mengi sana makubwa kwenye hili Taifa mengi sita yesema nitasema machache tu tena...
  13. Marcy

    JamiiForums Tanzania Ni kweli matunda yote yasiyo na mbegu ndani yametengenezwa na mwanadamu kwenye maabara?

    Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao maembe nk yasio na mbegu ndani Ukiuliza wanakwambia ni aina ya hayo matunda lakini kiuhalisia ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu . soma hapo chini👎 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya...
  15. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Pixie Oranges, Kiwi, Blueberries, Lemons, Dragons na Lime ni matunda yenye feature kubwa sana

    Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi. Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi kikubwa sana na tunalima kwa kiwango kidogo sana au hatulimi kabisa. Nchi kwa sasa inakimbilia kwenye...
  16. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao hasa ya matunda

    Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples, NJOO uwekeze uinue kipato chako, Mashamba yanapatikana Mawasiliano What's App 0679403344
  17. Godfrey Sway

    JamiiForums Tanzania Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  19. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

    Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
Back
Top Bottom