Chumba cha kuivishia matunda (Ripening chamber)

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,096
Reaction score
1,607
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.

Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber, maana kuagiza china na india ni parefu.

Mafundi wa cold rooms mje hapa
 
Njoo inbox
 
Wenzako wanaivisha ndizi kwenye makontena

Sasa fikiria kontena na Jua la Dar.! 😎
 
siyo container tupu, ndani kuna mifumo imefungwa ya kuwezesha kuchochea ethylene ili matunda yaive kwa wakati mmoja
 
We biashara itakushinda, haya subiria wataalamu
 
natokea moshi, najua ndizi unaweza funika kwenye shimo ukiweka na maparachichi zinaiva vzuri. Nahitaji kuwekeza serious mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom