Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari".
Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua na public interest na watu wanaweza kukuchambua wapendavyo iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Hiyo ndio...