matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

    Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump. Kazi anazofanya kama...
  2. Ijue historia ya nguo ya ndani(BIKINI)aina zake na matumizi yake!

    Historia ya chupi ya bikini Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty). Mwanzo wake: Enzi za kale: Wazo la bikini si jipya. Picha za kale za Warumi na Wagiriki kwenye sanamu na michoro zinaonyesha wanawake wakiwa...
  3. Nani anajua matumizi ya hili tundu kwenye kisu au Visu

    Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
  4. Kama una chochote ambacho huna matumizi nacho iwe tv, simu, kabati, baiskeli, godoro weka hapa kwenye huu Uzi, na mnunuzi au Mwenye kuhitaji anunue

    Wakuu salam! Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
  5. M

    Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  6. Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
  7. Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  8. Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  9. Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  10. Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  11. Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  12. GE2025 Matumizi ya bilioni za CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu

    Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM. Na isitoshe, ushindi...
  13. Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  14. Punguza matumizi makubwa ya "Medicated soaps" kulinda Ngozi yako

    Je, wewe n mmoja wapo ya wale wanunuao sabuni kwa kufata manukato pasi na kujali viambata viitengenezayo sabuni husika? Hili ni moja wapo ya zoea baya la walaji wa bidhaa mbali mbali nnchini. Moja wapo ya walaji hawa ni watumiaji wa sabuni za kuogea. Matumizi ya Sabuni zenye viambata vya dawa...
  15. M

    Kurudi kwa kasi kwa matumizi ya Plasiki zilizokatazwa; Nani mnufaika?

    WanaJF, Naomba leo kuweka hili jambo hapa. Wizara inayohusika na mazingira wanakaa kimya kuhusu uchafuzi wa mazingira hasa mitaa ya miji. Plastiki laini hata ambazo zilikatazwa na Waziri zimerudi kwa kasi mtaani. Mbona waziri mhusika au idara husika haichukui hatua yoyote? Au wanasubiri mpaka...
  16. Timu zote za mpira lazima zifanye AUDITING ya matumizi yake na haitakuwa hiari

    Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi- NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE...
  17. Kenya yaongoza Matumizi ya AI

    Kenya 🇰🇪 has been ranked the top user of ChatGPT in the world. This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI tool—higher than any other country. === How many people use ChatGPT monthlyThe report showed that the ChatGPT mobile app reported roughly 486...
  18. R

    Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  19. D

    Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  20. Tushauri vijana tunaotaka kukuza mitaji, tufanye nini ili kukwepa matumizi ya pesa yatokanayo na msukumo wa kihisia/ngono?

    Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000. Basi bwana nikampata bonge la mdada chibonge mrefu na mweusi. Kufupisha stori Baada ya wiki tu mtaji ulikata. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…