matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DAWASCO ina aina tofauti za mita au mita zote zinafanana kwa matumizi?

    Nimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokuwa imefubaa haisomeki vzuri, sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali. Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isijekuwa...
  2. Leo ni Siku ya Matumizi ya Choo Duniani: Je, Tanzania vyoo vinatosheleza mahitaji ya wananchi wake?

    Swali ni hili, je unadhani Nchini Tanzania vyoo vinatosheleza mahitaji ya wananchi wake? Mashuleni, Mahospitalini, Masokoni, Maofisini, vituo vya mabasi hali ikoje?
  3. Contena linauzwa kwa matumizi ya biashara

    CONTENA ZINAUZWA FUTI~>40 LOCATION : MBAGALA BEI: MILLION 7 @ MAONGEZI YAPO FULL DOCUMENTS CALL ME ~>0762815104 #WHATSAPP ~>0762815104
  4. L

    China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  5. B

    Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

    Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
  6. M

    Ushauri: Rais avunje wizara za TAMISEMI na Utumishi ili kupunguza matumizi

    Wadau Salam kwenu Moja kwa moja kwenye mada Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
  7. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo, Natumai ni mzima wa afya njema. Mheshimiwa waziri wa Kilimo, Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama kilivyo jieleza. Naomba kurejea tena. Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, Ammonium Nitrate (NA), Ammonium Sulphate (SA), Ammonium...
  8. B

    Nimeamua Kupunguza Matumizi ya Intaneti kwa angalau 50%

    Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
  9. Ndege kwa matumizi ya Rais wetu

    Mwaka 2004, kulizuka mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi, baada ya Serikali ya awamu ya tatu, chini ya hayati Rais Benjamin William Mkapa, kufanya maamuzi ya kununua ndege maalumu kwa ajili ya matumizi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa safari za ndani na nje ya nchi...
  10. K

    Matumizi ya Tshs.1.3 Trilioni za UVIKO-19 zitangazwe kupitia TANEPS

    Kama ilivyo kwenye sheria ya manunuzi matumizi ya Tshs.1.3 trillioni ya UVICO -19 zitangazwe kupitia Taneps ili watu wenye sifa waombe na jukumu la Serikali liweni kusimamia ubora. Nchi inayongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni, kwa nini tukiuke sheria, taratibu na kanuni?. Force account...
  11. Kwa wenye supermarkets, maduka, matumizi binafsi ya watoto home nina supply hii biskuti 😋

    Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
  12. Uzoefu wa matumizi ya gesi kwenye gari

    Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST. Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao...
  13. K

    Swali : Nani mchunguzi mkuu wa matumizi ya Benki Kuu Tanzania?

    Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania? Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia...
  14. Nimekuwa teja wa matumizi ya simu, naachaje?

    Nikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa...
  15. Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  16. P

    Serikali kubana matumizi napo tunasubiri Benki ya Dunia (WB) ituambie? Hatuwezi kuona tunakokwenda?

    Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika hilo, niseme kwamba, hakuna nchi yenye watu wavumilivu kama Watanzania, si kwenye mambo ya kisiasa...
  17. L

    Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au...
  18. Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  19. Arusha ni sehemu isiyo na mpinzani katika matumizi ya bangi

    Arusha bangi ni kama sigara tu, sio big deal, Mikoa miingine watu wakijua unavuta bangi huwa unaonekana kama jambazi hivi 😂 Watalii wa nchi mbali mbali waliojaa Arusha wanavuta kitu cha chuga. Watu wazito, kuanzia mtajiri wa madini, ma ceo wa makampuni, wafanyabiashara wakubwa, n.k wanavuta...
  20. Tanzania ni nchi ya kodi na matumizi ya kodi?

    WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:- (i)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…