matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi ya SMS na Simu yanapungua, wamejua na wanaongeza bei za data

    Kwenye mawasiliano mtu anaweza kutumia SMS au simu za kawaida kuwasiliana. Hata hivyo uwepo wa internet unaonesha watu wengi wanapiga simu kwa namna nyingine tofauti na kutumia ujumbe kwa njia nyingine zaidi ya SMS. Uwepo wa mitandao kama WhatsApp, Telegram etc unaonesha watu wanaweza kupigiana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini CAG hatoi Ripoti ya Matumizi ya Tume za Uchunguzi?

    Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani. Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ajali za treni duniani. SGR, tumejitayarishakuelimisha matumizi ya makutano ?

    Tunategemea kuwa reli yetu inayojengwa , SGR, itakuwa ya kisasa na yenye spidi kali. Spidi zinazotazamiwa ni hadi 160km/hr. Hii ni spidi kali sana kwa mwendo wa ardhini. Kwa vile kutakuwa na makutano(Railway crossings) nyingi sana kati ya njia za treni hiyo na barabara, tumejitayarisha kivipi...
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya neno mheshimiwa

    MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE) Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao. Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake. Pia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu. Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Serikali iweke wazi matumizi ya miradi ili kudhibiti Rushwa

    Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee. Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tahadhari za matumizi ya jiko la mkaa

    Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa. Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya mwili usipate kiasi cha kutosha cha hewa safi ya Oxygen inayohitajika kwenye upumuaji. Ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ustahimilivu wa Digitali Hauwezi Kupatikana kwa Kuepuka Matumizi ya Digitali

    Kadiri muda unavyokwenda teknolojia za kidigitali zinaendelea kuyafikia maeneo mengi ya maisha ya watu. Sasa hivi watu huchangamana na kufanya kazi katika mazingira ya kidigitali. Kutokana na ukweli huo, watu wanakumbana na wataendelea kukumbana na mabadiliko na misukosuko wakati wa shughuli...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yashauriwa kuchukua hatua kali kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi

    Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
  11. JamiiForums Tanzania BAKITA yakemea matumizi ya neno "Habari Mpasuko"

    Tamko la Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kuhusu neno "Habari Mpasuko"
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uholanzi itatoa baiskeli 2,000 kwa Ukraine kusaidia utoaji bora wa huduma za afya

    Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya. Mpango huu una lengo la kuongeza ufanisi miongoni mwa madaktari mbalimbali nchini Ukraine. ========== Dutch Stichting Zeilen Van...
  14. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka ishirini amekubali niweke bili na malipo ni siku za matumizi.

    Tumekubaliana kila nikihitaji nimwambie awe anakuja. Atakuwa ananitumia ratiba yake ya mzunguko kila mwezi ili nisimuite siku zisizokuwa nzuri kwake. Uzuri ni kwamba tumeshapima na bei/tozo elekezi tumekubaliana.
  15. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  16. JamiiForums Tanzania Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

    Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa

    Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu? Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya wagonjwa wasitumie vizuri dawa wanazopewa. Siku moja ina saa 24, kwa kuzingatia mgawanyiko sawa wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

    Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina. Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake. Source: TBC
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wowote kumuachia housegal pesa ya matumizi yeye ndiye aipangie budget?

    Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home. Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
  20. JamiiForums Tanzania Uganda: Bunge lapitisha faini ya Tsh. Milioni 9 kwa matumizi mabaya ya mitandao

    Bunge limepitisha adhabu hiyo au kifungo cha miaka 10 au vyote kwa pamoja kufuatia marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 2011. Marekebisho hayo yayonasubiri kutiwa saini na Rais yanalenga kudhibiti matumizi yasiyofaa ya taarifa au data, kukataza ushiriki wa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…