matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Babumawe

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10 mpaka namba 1. kama kuna tukio lingine limesaulika ongezea. 10•••1982: Ndege ya Air Tanzania...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  4. toriyama

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matukio yanayoenda tokea aftermath MO29 ili kuwapumbaza GEN-Z

    Nov 23,2025 Orodha ya matukio yanayoenda tokea aftermath MO29 ili kuwapumbaza GEN-Z NA na Wananchi kiujumla nilichelewa kuandika matukio haya awali nikiwa na mashaka either wataufuta uzi, naomba thread hii isiunganishwe ili iwe rahisi ku update maana sitatumia links aina yeyote chini ya haya...
  5. simplemind

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa matukio Dec 9

    Hapa chini kuna uchambuzi kamili wa matukio (scenario analysis) kuhusu kile kinachoweza kutokea kwenye maandamano ya Desemba 9 nchini Tanzania. Nimeugawa katika: HALI NZURI (Best Case) HALI MBAYA (Worst Case) HALI INAYOWEZA KUTOKEA ZAIDI (Most Likely) 1. HALI NZURI (BEST CASE SCENARIO)...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Hatukuripoti matukio ya Oktoba 29, wachochezi walikuwa wakihamasisha vijana kuja kuchoma vituo vya Shirika na hata kutuua sisi

    Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu. Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taswira ya Siasa Tanzania chini ya kivuli cha matukio yasiyo na Uwajibikaji

    Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
  8. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika videos

    Ni matukio yanayotokea around the clock 24/7 Ya kufurahisha Ya kuhuzunisha Ya kutatanisha Ya kukatisha tamaa Ya kuumiza Ya kushangaza nk
  18. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  19. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

    Habari Jamii Africa. Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
Back
Top Bottom