Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

mamy cute

Senior Member
Joined
Nov 21, 2025
Posts
133
Reaction score
360
tufarijiane tu

IMG_2126.png
 
Jamani yaaani ndo kwanza nimetimba leo JF nakjta kuna mtu kaumizwaa loooh,
Kwanini uteseke toto jeupe lenye shepu yake?

Hapa nimekaa kaa tu hebu nikufariji slowly na pole pole kama mwendo wa kobe,
Ili hata ukijisikia vibaya, awepo mfariji pembeni yako wewe,
Yaaache hayo ya zamani, njoo usikilize story za kidume🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom