matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  2. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  3. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania NBC Premier League: Upangaji wa matokeo (Referees & Betting)

    Kuna jambo nimeligundua kwenye ligi ya NBC. Marefa wanashirikiana na watu wanao bashiri kupanga matokeo.
  8. JamiiForums Tanzania Mipasho imeibuka nchini Marekani iwapo kilichotumika kuwapiga Houth ndicho chenyewe,kwani matokeo ni tofauti.Pentagon nayo imepiga kimya.

    Mabomu makubwa kuliko yote yanayomilikiwa na jeshi la Marekani kabla ya yale ya nyuklia ni aina ya GBU-57/B Massive Ordnance Penetrator (MOP). Baadhi ya maafisa wa jeshi la Marekani wamethibitisha kuwa mabomu hayo yameshatumika mara kadhaa dhidi ya Houth tangu mwaka jana baada ya kutumwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni Ladha hisia ni matokeo ya kuvimbiwa

    Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu Huria (OUT) hawajatuweka matokeo mpaka sasa

    Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini yamechelewa kutoka. Na cha kushangashaza ratiba ya kufanya mitihani imetoka mapema kabla ya mitihani...
  11. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 9 Simba-0 vs Al masry-0 Matokeo ni suluhu bila kufunguna

    Ndugu wanasimba Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao FT Simba 0 al masry 0.
  12. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  13. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya jana dhidi ya al masry ..Simba waliona mbali kukimbia derby

    Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kufuatia matokeo dhidi ya Al Masry SC, ni vema tukamrudisha Aishi Manula kuwa kipa wa kudumu

    Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli. Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari. Sasa ni wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

  18. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi wangeweza kufuta matokeo badala ya kufuta mechi kama walihisi kuna rushwa.

    Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
  19. JamiiForums Tanzania Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  20. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…