Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini yamechelewa kutoka.
Na cha kushangashaza ratiba ya kufanya mitihani imetoka mapema kabla ya mitihani...
Ndugu wanasimba
Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao
FT Simba 0 al masry 0.
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2
Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi
Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu.
Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila.
Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli.
Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari.
Sasa ni wakati...
🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!
🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales?
🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua?
🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua?
🎯 Unasema "We are open!"...
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma
YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia
uwanjani
Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI
Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU
NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE
UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
Ndio tayari umeshakuwa positive, kulia lia na kujifungia ndani kila siku haiwezi badirisha situation yako.
Ndio tayari umeshazaa na kichomi. Kukaa kijiweni na kuwa diss kila siku wadada wa kileo haitabadirisha situation yako
Ndio tayari umeshakuwa single mom. Kuwalaumu wanaume kila siku kwenye...
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla)
Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa Abu Marzouk alisema hangeunga mkono uvamizi na mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel...
Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.