Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

wanwan

Member
Joined
Oct 2, 2023
Posts
63
Reaction score
87
IMG_20250312_165825_9.jpg
 
Ok.vzr ila me mdau wa Yale mazoezi ya kutoka jasho kwa mudamrefu mfano kukimbia na kuchezA tennis
Hayo ndio bakubwa.
Mimi Nakimbia dakika 40. Push up mkupuo wa 40,40 x 5. Push up za tumbo 40,40x5. Nakimbia kuchota maji kisima cha urefu wa Mita 10+ kwa kuvuta na kamba ndoo ya lita 10,najaza ndoo 2 za lita 20x2 ,naenda kujaza pipa la lita 200 umbali wa Mita 30+. Hayo yote nakuwa nimeua saa 1;50. Tize la Siku imekamilika
 
Mazoezi yenye Faida!
 
Back
Top Bottom