KERO Chuo Kikuu Huria (OUT) hawajatuweka matokeo mpaka sasa

KERO Chuo Kikuu Huria (OUT) hawajatuweka matokeo mpaka sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini yamechelewa kutoka.

Na cha kushangashaza ratiba ya kufanya mitihani imetoka mapema kabla ya mitihani. Wanatukosea, wanatukosea sana.
 
Back
Top Bottom