NBC Premier League: Upangaji wa matokeo (Referees & Betting)

Omukisa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,559
Reaction score
3,114
Kuna jambo nimeligundua kwenye ligi ya NBC. Marefa wanashirikiana na watu wanao bashiri kupanga matokeo.
 
Hizi ligi za nchi zenye high corruption kama Tanzania mimi siwezi kubet michezo ya timu zake wala kununua tiketi za bahati nasibu za kampuni zinazo operate kwenye hizi nchi. Too risk. Hata hizi mashine za kubahatisha za wachina zilizojaa mtaani ziwezi kucheza. Ndani mna uhakika gani hazijawaja programmed kufanya manipulation ya kutoa mshindi?
 
moderator futeni hii habari haijakamilika hii
 
Hizi ligi za nchi zenye high corruption kama Tanzania mimi siwezi kubet michezo ya timu zake wala kununua tiketi za bahati nasibu za kampuni zinazo operate kwenye hizi nchi. Too risk. Hata hizi mashine za kubahatisha za wachina zilizojaa mtaani ziwezi kucheza. Ndani mna uhakika gani hazijawaja programmed kufanya manipulation ya kutoa mshindi?
Upo sahihi mkuu. Marefa wa bongo wanabeti kupitia watu wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom