matokeo

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  3. joku

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini uwanja ukidhibitiwa Yanga huwa hapati matokeo?

    Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi? Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Timu iko Mashindanoni mnaipeleka Bungeni Kutalii na kuichanganya na Siasa za Kikampeni kwanini isolate Matokeo ya Leo?

    Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha. Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

    Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake. Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna yaliyofanyika na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo. Ilianza kwa kuanza kutoa nafasi za utendaji...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

    Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka matokeo ya mechi gani yaliyokuachia kumbukumbu isiyofutika kichwani?

    Mimi nakumbuka hii hapa. Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi). Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile. Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂 Kwa kifupi...
  9. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  10. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

    Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031 Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu na Muhammad walipokufa waliacha vurugu? Nini uhalali wa utukufu na mantiki ya dini na matokeo ya vifo vyao?

    Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu Ukiachana na vifo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jokate apongeza matokeo kidato cha nne shule iliyopewa jina

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kuhusu matokeo ya kidato cha 4 mwaka huu

    Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie? Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
  18. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    1. Rais Samia 2.Dr. Nchimbi 3. Paul Makonda 4. Mrisho Gambo 5. Lucas Mwashambwa 6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D 7. Crimea 8. Gwajima 9.Job Ndugai
Back
Top Bottom