matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Tanzania ni matokeo ya kitu gani?

    Tafakari tu bila kukaza fuvu.....tusome comment
  2. JamiiForums Tanzania Misukosuko ya William Ruto, ni matokeo ya itikadi yake ya usaliti

    Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti? Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi ikitafsiriwa kama usaliti kwa wale waliokuwa washirika wake. Hapa chini ni uchambuzi wa jinsi vitendo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

    kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
  5. JamiiForums Tanzania Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani. Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

    Hizi shule za binafsi tusiziamini sana Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
  7. JamiiForums Tanzania Sala au maombi gani ambayo uliwahi kusali yakaleta matokeo tushirikishe

    Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa? Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe Pia madhehebu mengine karibuni kushuhudia kulingana na MUNGU alivyokutendea.
  8. JamiiForums Tanzania KAMAA ULISOMA ADDITIONAL MATHS KWA MATOKEO YA SIMBA UMEJUA NANI ALIKUWA ANA MKIMBIA MWENZIE....BM MTUSAMEHE KIDOGO

    NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA MKONO YAAN 5 HATIMAE MKAFANIKIWA KUFUNGWA 2 TU HUU N UTHUBUTU NIIPONGEZE BODI YA SIMBA KWA KUTHUBUTU...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  12. JamiiForums Tanzania Kuahurishwa kuvunjwa kwa bunge 2025, matokeo yake ni yes reforms,yes election. Maswali 5 ya kujiuliza!

    WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, uliyapokeaje matokeo yako ya mitihani?. Na je ni tukio gani la kimatokeo ambalo ukilikumbuka hukuacha hoi hadi leo!?

    Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja. Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TFF kufumbia Macho mabaya yote ya Yanga matokeo yake ndio haya tunaanza kuyaona

    Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa. Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  18. JamiiForums Tanzania Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  19. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la single mothers ni matokeo ya Wanawake wengi kujirahisisha na kutotii wazazi au walezi wao.

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…