Matokeo ya sensa

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,169
1,533
WanaJF,

Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa.

Asante sana viongozi wetu.

Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda uliowekwa.

Mpaka siku ya pili kuisha matokeo ya awali ni kuwa wanawake wametuzidi kwa karibia 1,000,000. Tuondelee kufuatilia tuone kama wataendelea kuongoza mpaka mwisho.

Kama tulivyofuatilia uchaguzi wa Kenya😅😅😅
 
Mpaka sasa female 7mil male 2mil watoto female 4mil male 1mil
Stay tuned kwa matokeo zaidi. Jinsia ke inaongoza mpaka sasa!
 
WanaJF,

Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa.

Asante sana viongozi wetu.

Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda uliowekwa.

Mpaka siku ya pili kuisha matokeo ya awali ni kuwa wanawake wametuzidi kwa karibia 1,000,000. Tuondelee kufuatilia tuone kama wataendelea kuongoza mpaka mwisho.

Kama tulivyofuatilia uchaguzi wa Kenya😅😅😅
Kwan ni mashindano?
 
Back
Top Bottom