Kenya 2022 Umoja wa Ulaya watoa wito wa Suluhu ya Amani kufuatia Sitofahamu ya Matokeo ya Urais

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia

Taarifa iliyotolewa na Mwakilishi wa Umoja huo, Joseph Borrel imependekeza mzozo unaoendelea na wasiwasi wowote uliosalia kuhusu Uchaguzi Mkuu utatuliwe kupitia taratibu zilizopo za Kisheria

.........................................

The European Union (EU) has called for a peaceful and legal solution of Azimio La Umoja presidential candidate Raila Odinga’s rejection of the General Election results.

The EU has called for an amicable solution to the dispute and urged all political leaders to avoid violence but instead advocate for peace. “The EU takes note of the results by the IEBC declaring Mr William Ruto winner of the election and the decision to appeal by Mr Raila Odinga. Ongoing dispute and any remaining concerns about this election must be resolved peacefully through existing legal mechanisms,” EU’s High Representative Josep Borrell said in a statement.

“All political and societal leaders must avoid any violence and call for calm. It is time for political leadership and responsibility from all those linked to the electoral process,” he added. Borell however commended Kenyans for maintaining peace in the electioneering period and expressed optimism in fostering stronger relations between the incoming Kenyan government and the EU.

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom