Uchaguzi Angola: Chama Tawala chaongoza katika matokeo ya awali

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,611
Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24

Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha UNITA kikipata karibu asilimia 34

MPLA, ambayo imekuwa madarakani kwa zaidi ya miongo minne, imekosolewa kwa kutokabiliana na mfumuko wa bei, umaskini na ukosefu wa ajira, licha ya utajiri mkubwa wa mafuta wa Angola

............................................

Angola's electoral commission says the governing MPLA has registered a strong lead after the early results of Wednesday's presidential and parliamentary elections.

The commission said that with a third of ballots counted, President João Lourenço's party has received more than 60% of votes.

The rebel-turned opposition movement, Unita, has nearly 34%.

Unita has called the provisional results unreliable.

The MPLA, which has been in power for more than four decades, has been criticised for not tackling inflation, poverty and unemployment, despite huge oil wealth.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom