matokeo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mechi ya Yanga na Ihefu, yalikuwa yamepangwa?

    Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo. Kwa mechi ya leo, ukiacha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania NACTE toeni matokeo ya mitihani wazazi wajiandae na wanafunzi wajue fate yao

    Vyuo hivyo vya kati vinafunguliwa 9/10/2023. matokeo ya mitihani bado...yaani mwanafunzi aende chuoni halafu arudi nyumbani in case he/she is discontinued Mzazi unajiandaa lini na ada? Rutayugwa take note of this
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo: Tunafuatilia Madai ya matokeo ya Wanafunzi wa UDOM kuzuiwa kisa kuchelewa kwa malipo ya ada

    Ufafanuzi wa Awali: Malipo ya Ada ya Mafunzo (Tuition Fee) ya mwanafunzi-mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu unaotolewa na serikali hulipwa kwa baada ya masuala yafuatayo kukamilika: Chuo kuwasilisha HESLB madai (invoice) sahihi na kwa wakati; 'Invoice' sahihi ni ile yenye kiwango (amount)...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watafiti 47 ambao wameshinda tuzo watangazwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba msibweteke na matokeo ya Simba day

    Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu. Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win)...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeshapata tayari Kinujumu (Kiutabiri) Matokeo ya Kesho Kigali na Ndola je, mna Mioyo na Vifua niyaweke hadharani?

    GENTAMYCINE nasubiria majibu yenu ila najua kuna Watu Watalia na hawatoamini kwa Matokeo ya Kesho. Je, mpo tayari niyaweke Hadharani?
  7. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania NACTE ni kwanini mmefunga site ya matokeo ya Kidato 4?

    Nadhani mmeshawishiwa na wadau wa shule nyingi za sekondari ambazo hazina soko hasa kipindi hiki cha utahili wa watoto wanaotarajia kuanza form 1. Wazazi wengi tumekuwa tukiingia kwenye website ya Necta kuangalia ubora wa shule hasa matokeo ya form 4 ndipo tuamue kuchukuwa form. Acheni hizo...
  9. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

    Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato. Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji. Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe. umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa...
  10. male issa yahaya

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usitafute utajiri, utajiri ni matokeo. Tafuta kibali cha Mungu

    Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo. Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu. Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi. Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na...
  12. Stelingi

    JamiiForums Tanzania DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

    Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much. Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani waitisha Maandamano Nchi nzima kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili. Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
  14. Clever505

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mandonga pale zenji jana mbona mi sijayaelewa?

    Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba, Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  16. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

    Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
  17. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wale tuliomaliza darasa la 7 mwaka 2000 kurudi nyuma tujikumbushe ilivyokua siku matokeo ya la 7 yanatangazwa

    Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Watu wa Kariakoo tusiende na matokeo yetu Tanga hali si nzuri kwetu

    Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi. Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao. Msije kusema sikuwatahadharisha.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kocha analaumiwa kwa matokeo mabaya na sio kwa kutompanga fulani

    Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika? Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya...
Back
Top Bottom