DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

Stelingi

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
700
1,922
Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much.

Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku imekuwa sisi na web ya psrs, mmmmmh hii sio sawa kabisa wenye mamlaka tizameni hili.

Au wenye update kuhusu huu usaili kuna jambo gani linaendelea atuambie maana sio kawaida. miezi tisa😳.
 
Back
Top Bottom