Ndugu wanajukwaa,
Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku.
1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini
Leo unaona nafasi moja ya kazi, wanaomba watu zaidi ya 1,000. Huu si ushindani wa kawaida—ni dalili...
KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS)
Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️
Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi.
Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na
kuvuna".
Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna".
Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio
Hitimisho Jeshi la...
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake.
Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya...
Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination.
Tulifanya mtihani huu tarehe 17 Disemba, 2025 lakini hadi leo matokeo bado hayajatolewa, hii ni hali...
Anonymous
Thread
binadamu
exam
internship
kuhusu
madaktari
malalamiko
matokeo
post
ucheleweshaji
https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A
Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo.
Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
Habar wana Jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu!
Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka...
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3.
1. Division 1 hadi 3
Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele.
2. Division 1 hadi 4...
Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa
SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani
Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya,
Dar es salaam shule za day zina...
https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/results/s5380.htm
Moja ya shule za Kiislamu. Zipo nyingi sana kuliko haya
Angalia na haya
https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/results/s0326.htm
Ufaulu Umepanda.
Futatilia hapa.
https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl
Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm
---
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC.
2. Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hawakutoa amri za kuamuru kuuwawa kwa Wananchi- Hili litasemwa ili kuwaepusha...
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma.
1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals)
Kumekuwa na...
-Haya ni matokeo ya mwisho yaliyovuja katika kituo cha kura cha Tume ya Uchaguzi ya Uganda, The Strong Room
Afisa mmoja katika chumba cha makusanyo aliirekodi na kuivujisha bila kujulikana.
NUP tulishinda, na ndiyo maana H.E Bobi Wine amekataa yale yanayoitwa matokeo yaliyotangazwa na...
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.