Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu bado unalazimisha Kumpanga wakati unae Beki mpya tena huenda ana uwezo mkubwa kuliko Yeye Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli Kocha mzima unajua kuwa 85% ya Mabeki ulionao Simba SC ni Wazee sasa halafu unaamua Kumtoa kwa Mkopo kwenda Mtibwa Sugar FC Beki mwenye Uwezo mkubwa na ana Kila Kitu Ibrahim Ame?

Hivi kweli inakuingia Akilini kwa Kocha kuamua Kumuingiza Uwanjani Mchezaji ambaye Kiuhalisia ni Beki Mbili Israel Patrick Mwenda akacheze Beki namba Tatu huku hapo hapo katika Bench ukiwa na Mchezaji mwenye hiyo namba na ndiyo anaimudu vyema Gadiel Michael Kamagi Mbaga?

Hivi kweli inaingia Akilini kwa Kocha kuamua Penati apige John Raphael Boko wakati 99.9999% ya Wachezaji wa Simba SC wanasema hata ukimuamsha tu Usingizini Mchezaji Kiraka ndani ya Kikosi Erasto Edward Nyoni anafunga / atafunga?

Hivi kweli inakuingia Akilini yaani Kocha ana Silaha Kali ya Mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye kila aliyemtizama kwa Jicho la Mpira anakubali kuwa Jamaa anajua, msumbufu na mpambanaji hasa na anaanzia tu Bench na hata akiingia anapewa wastani wa dakika 15 au 10 tu?

Mightier Jumapili Usiku nilianzisha Uzi hapa hapa JamiiForums nikisema na Kuahidi kuwa naenda Kuanika Upuuzi wote na Kuwataja Viongozi ambao ningesema Mapungufu yao ila kuna Mwandamizi Mmoja akanifuata PM na Kuniomba nisiharibu.

Na kwa Kumuheshimu kwakuwa namjua vyema pia lakini kwa hii Suluhu ( Goalless Draw ) ya Leo yenye Upuuzi kama siyo Upumbavu mwingi naweza Kuweka Mambo yote hadharani na Mgogoro mkubwa uibuke Klabuni Simba.

Na wengine kama akina Mightier tunaumia kwakuwa hatujaishia tu kuwa Wachambuzi wa Mpira ( hasa Soka la Tanzania ) ila hata huu Mpira wenyewe nao tumeucheza vyema, tukasifika na tunaujua vile vile hata kama hatujafikia Kiwango kile na bahati nzuri hata Wachezaji wa Timu hizi Kubwa nchini ni Washkaji na Wadogo zetu hivyo huwa wanatuambia mambo mengi, makubwa na mazito pia.

Tafadhalini Kocha Gomez atupishe SSC.
 
Wewe sakho ni injury hawezi kumchezesha dakika zote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tuwe na subira,timu itakaa sawa na itafanya vizuri
 
Wewe sakho ni injury hawezi kumchezesha dakika zote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Pumbavu hivi Professionally Mchezaji Injury huwa anajumuishwa katika Kikosi cha Wachezaji 18 kwa Mechi ( Mchezo ) husika?

Hebu nitokee hapa tafadhali kwani unalolijua kuhusu Simba SC na Soka la Tanzania na Siku zingine ukiiona ID hii inajadili Soka la Tanzania ( tena hasa Klabu yangu ya Simba ) uwe unakaa nayo mbali sawa?

Kocha wako Msaidizi Matola ( Mzambia ) au ( Veron ) ambaye ni Mtu wangu ile mbaya anasema Mchezaji Sakho ni mzima wala haumwi popote isipokuwa Kocha Gomez anampa Kwanza muda mwingi Kuusoma na Kuujua Uchezaji wa Ligi ya Tanzania.

Na kwamba akishaizoea atakuwa anampa muda mrefu na ndiyo Mchezaji ambaye kama akiizoea vyema Ligi yetu si tu kwamba atafunga Magoli mengi bali pia kwa Kipaji na Uwezo wake mkubwa huenda Simba SC ikamuuza kwa Gharama za Kuwazidi akina Chama na Miquissone.
 
Ugonjwa unaokusumbua unatibiwa mirembe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kawe kocha wewe basi. Mwacheni mwalimu afanye kazi
Pumbavu wanakosolewa akina Guardiola, Klopp, Mourinho, Arteta na Zidane itakuwa huyu Mpuuzi wenu Mmoja Gomez tena wa Simba SC ya Tanzania iliyo Ulimwengu ( Dunia ) ya Tatu?
 
Pumbavu hivi Professionally Mchezaji Injury huwa anajumuishwa katika Kikosi cha Wachezaji 18 kwa Mechi ( Mchezo ) husika?

Hebu nitokee hapa tafadhali kwani unalolijua kuhusu Simba SC na Soka la Tanzania na Siku zingine ukiiona ID hii inajadili Soka la Tanzania ( tena hasa Klabu yangu ya Simba ) uwe unakaa nayo mbali sawa?

Kocha wako Msaidizi Matola ( Mzambia ) au ( Veron ) ambaye ni Mtu wangu ile mbaya anasema Mchezaji Sakho ni mzima wala haumwi popote isipokuwa Kocha Gomez anampa Kwanza muda mwingi Kuusoma na Kuujua Uchezaji wa Ligi ya Tanzania.

Na kwamba akishaizoea atakuwa anampa muda mrefu na ndiyo Mchezaji ambaye kama akiizoea vyema Ligi yetu si tu kwamba atafunga Magoli mengi bali pia kwa Kipaji na Uwezo wake mkubwa huenda Simba SC ikamuuza kwa Gharama za Kuwazidi akina Chama na Miquissone.
Wahi Mirembe mapema tena ikiwezekana omba ulazwe ile Wodi alikolazwa Ndugai kipindi alipokuwa anatibiwa ukichaa.
 
Pumbavu hivi Professionally Mchezaji Injury huwa anajumuishwa katika Kikosi cha Wachezaji 18 kwa Mechi ( Mchezo ) husika?

Hebu nitokee hapa tafadhali kwani unalolijua kuhusu Simba SC na Soka la Tanzania na Siku zingine ukiiona ID hii inajadili Soka la Tanzania ( tena hasa Klabu yangu ya Simba ) uwe unakaa nayo mbali sawa?

Kocha wako Msaidizi Matola ( Mzambia ) au ( Veron ) ambaye ni Mtu wangu ile mbaya anasema Mchezaji Sakho ni mzima wala haumwi popote isipokuwa Kocha Gomez anampa Kwanza muda mwingi Kuusoma na Kuujua Uchezaji wa Ligi ya Tanzania.

Na kwamba akishaizoea atakuwa anampa muda mrefu na ndiyo Mchezaji ambaye kama akiizoea vyema Ligi yetu si tu kwamba atafunga Magoli mengi bali pia kwa Kipaji na Uwezo wake mkubwa huenda Simba SC ikamuuza kwa Gharama za Kuwazidi akina Chama na Miquissone.
Kama matola anakupa siri wewe basi huyo sio kocha,ni maulid kitenge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nilichukia Sakho kuingizwa dk ya 86 halafu ndo mashambuli yakaanza ,kweli mpira wa Leo ni wa hovyo ,hata Kibu Denis ni mzuri pia,Bwalya ni mzuri ila mle ndani kama amezidiwa sijui tatizo ni nini.

Kipindi chote Cha kwanza walicheza mipira mirefu na kipa wa Biashara alikuwa anazichukua bila wasiwasi ,kipindi cha pili vile vile mipira yote ya juu inachukuliwa na kipya wala hamna plan b
 
Pumbavu hivi Professionally Mchezaji Injury huwa anajumuishwa katika Kikosi cha Wachezaji 18 kwa Mechi ( Mchezo ) husika?

Hebu nitokee hapa tafadhali kwani unalolijua kuhusu Simba SC na Soka la Tanzania na Siku zingine ukiiona ID hii inajadili Soka la Tanzania ( tena hasa Klabu yangu ya Simba ) uwe unakaa nayo mbali sawa?

Kocha wako Msaidizi Matola ( Mzambia ) au ( Veron ) ambaye ni Mtu wangu ile mbaya anasema Mchezaji Sakho ni mzima wala haumwi popote isipokuwa Kocha Gomez anampa Kwanza muda mwingi Kuusoma na Kuujua Uchezaji wa Ligi ya Tanzania.

Na kwamba akishaizoea atakuwa anampa muda mrefu na ndiyo Mchezaji ambaye kama akiizoea vyema Ligi yetu si tu kwamba atafunga Magoli mengi bali pia kwa Kipaji na Uwezo wake mkubwa huenda Simba SC ikamuuza kwa Gharama za Kuwazidi akina Chama na Miquissone.
Ungemchapa kwa umombo kabisa ili asome mwenyewe
 
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu bado unalazimisha Kumpanga wakati unae Beki mpya tena huenda ana uwezo mkubwa kuliko Yeye Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli Kocha mzima unajua kuwa 85% ya Mabeki ulionao Simba SC ni Wazee sasa halafu unaamua Kumtoa kwa Mkopo kwenda Mtibwa Sugar FC Beki mwenye Uwezo mkubwa na ana Kila Kitu Ibrahim Ame?

Hivi kweli inakuingia Akilini kwa Kocha kuamua Kumuingiza Uwanjani Mchezaji ambaye Kiuhalisia ni Beki Mbili Israel Patrick Mwenda akacheze Beki namba Tatu huku hapo hapo katika Bench ukiwa na Mchezaji mwenye hiyo namba na ndiyo anaimudu vyema Gadiel Michael Kamagi Mbaga?

Hivi kweli inaingia Akilini kwa Kocha kuamua Penati apige John Raphael Boko wakati 99.9999% ya Wachezaji wa Simba SC wanasema hata ukimuamsha tu Usingizini Mchezaji Kiraka ndani ya Kikosi Erasto Edward Nyoni anafunga / atafunga?

Hivi kweli inakuingia Akilini yaani Kocha ana Silaha Kali ya Mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye kila aliyemtizama kwa Jicho la Mpira anakubali kuwa Jamaa anajua, msumbufu na mpambanaji hasa na anaanzia tu Bench na hata akiingia anapewa wastani wa dakika 15 au 10 tu?

Mightier Jumapili Usiku nilianzisha Uzi hapa hapa JamiiForums nikisema na Kuahidi kuwa naenda Kuanika Upuuzi wote na Kuwataja Viongozi ambao ningesema Mapungufu yao ila kuna Mwandamizi Mmoja akanifuata PM na Kuniomba nisiharibu.

Na kwa Kumuheshimu kwakuwa namjua vyema pia lakini kwa hii Suluhu ( Goalless Draw ) ya Leo yenye Upuuzi kama siyo Upumbavu mwingi naweza Kuweka Mambo yote hadharani na Mgogoro mkubwa uibuke Klabuni Simba.

Na wengine kama akina Mightier tunaumia kwakuwa hatujaishia tu kuwa Wachambuzi wa Mpira ( hasa Soka la Tanzania ) ila hata huu Mpira wenyewe nao tumeucheza vyema, tukasifika na tunaujua vile vile hata kama hatujafikia Kiwango kile na bahati nzuri hata Wachezaji wa Timu hizi Kubwa nchini ni Washkaji na Wadogo zetu hivyo huwa wanatuambia mambo mengi, makubwa na mazito pia.

Tafadhalini Kocha Gomez atupishe SSC.
Kudadadeki.Na Bado,mtakoma kwa muda mrefu sana na kuparuana hovyo hovyo tena hadharani
 
Back
Top Bottom