mathematics

  1. F

    Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

    Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc. Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
  2. Petro E. Mselewa

    Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

    Wakuu, nawasalimu! Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16. S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY -...
  3. Makanyaga

    Kitabu hiki hapa: Advanced Engineering Mathematics 10th Edition By ERWIN KREYSZIG (pdf)

    Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
  4. Relief Mirzska

    Mwalimu wa Mathematics anahitajika Zanzibar

    Kwa mara nyingine nawaletea tena fursa hii adhimu. Tunahitaji mwalimu wa somo la Mathematics (preferably male) ambae atafundisha primary school iliyopo Zanzibar. Shule ina mazingira mazuri sana ya utendaji kazi. Working hours: 8 hours per day Number of students in the class: Not more than 24...
  5. A

    Quantity survey Vs mathematics and statistics

    Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi...
  6. Mwamba1961

    Mwalimu wa Hesabu na Fizikia anahitajika

    Habari wana JF, Shule ya sekondari ya ST. MONICA WINO GIRLS inatafuta mwalimu wa Physic na mathematics.. Andika Barua ya maombi na uambatanishe wasifu wako CV kwenda: OFISI YA MKUU WA SHULE, SHULE YA SEKONDARY ST. MONICA WINO GIRLS, S. L. P 69, MADABA. au stmonicawino2019@gmail.com au...
  7. robbinhood

    A. J. Sadler, D.W.S.Thorning - Understanding Pure Mathematics (1987, Oxford Up Education)

    Understanding pure mathematics
  8. Ngareroo

    Sitosahau nilikua ridiculous darasani lakini binti alinikubali baada ya kupata 'A' Mathematics

    Habari za muda huu wakubwa, I hope mko fresh kabisa, safi kama safi, safi kama poa, Poa kama good, Hivi kama hivi yaani..Anyways acha niende direct kwenye mada. Bas bhana kuna teacher mmoko enzi za Masekondari uko ambae siezi msahau alikua na wenge shazi pia alikua hodari kinyax kwenye...
  9. Point less

    Mathematics solver is here, Form 1 - Form 3 tupia swali hapo usaidiwe

    Message: This is special for mathematics and things related to mathematics. If you have any quiz in mathematics, just bring it i will help if not me some also can help. And if you are a teacher or any that can solve welcome we help our generation. Me from Form One to Form Three Other friends...
  10. mathsjery

    Bambo kaharibu Mathematic

    HAHAHAHA
  11. Mr Morogoro

    Mwalimu wa Mathematics natafuta kazi-Kilimanjaro/Arusha

    Habari wakuu...mimi ni mwalimu wa Mathematics level yangu ya elimu ni Bachelor degree, natafuta kazi ya kufundisha katika shule yoyote.naweza kufanya kazi mkoa wowote Tanzania lakini napendelea zaidi mkoa wa Kilimanjaro or Arusha. Kama kuna mtu anafahamu shule yoyote yenye uhitaji wa mwalimu wa...
  12. M

    Mwalimu wa Mathematics natafuta kazi, 0738 853 634

    Napatikana songea
  13. figganigga

    Mtoto mtamu lady Furahia anatafutwa na Kijana Mathematics

    Wakuu, Chachu Ombara alikuwa ananiulizia kama online namuona Madame B . Mara sijakaa sawa nikapokea Ujumbe wa mathematics akimuulizia ladyfurahia. Kwamba amemiss mambo na kelele nyingi. Nikasema ngoja nitumie nafasi kutafuta mke. Nipendeni jamani, mi single father. Ila usiku wa jana...
  14. U

    Naomba kujua duka la vitabu vya Hisabati vya kidato cha tano na cha sita Jijini Mbeya

    WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
  15. Jamii Opportunities

    DAAD PhD Scholarship Mathematics in Industry and Commerce in Germany 2019/2020

    DAAD in Germany is offering scholarships for DAAD PhD scholarship in Mathematics in Industry and Commerce (MIC) at the Technical University of Kaiserslautern in 2020. The MIC programme was launched in 2006. Like the predecessor programmes MSc Industrial Mathematics and the Sandwich PhD...
  16. southern boy

    Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na shughuli...
Back
Top Bottom