Sitosahau nilikua ridiculous darasani lakini binti alinikubali baada ya kupata 'A' Mathematics

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,909
2,000
Habari za muda huu wakubwa, I hope mko fresh kabisa, safi kama safi, safi kama poa, Poa kama good, Hivi kama hivi yaani..Anyways acha niende direct kwenye mada.

Bas bhana kuna teacher mmoko enzi za Masekondari uko ambae siezi msahau alikua na wenge shazi pia alikua hodari kinyax kwenye kufundisha Mathematics,, Yule dingilii alikua anaanza kwanza kuandika jibu la swali alaf ndo anaanza kukokotoa alaf wahuni tunaishia kushangaa hatujui kaanzia wapi wala kaishia wapi na jibu kweli ni kweli hakosei chaliangu,,in short alikua anajifundisha mwenyewe na sio kwamba alikua anatufundisha sisi wanafunzi...

Tulikua tunamuita MATALAMBULI aka Dodododooooo.....yaani mchizi aki'solve swali sio mpaka afike mwisho so anaandika vidoti ubaoni uku akisema Dododo kwamba linaendelea kusololoa,,lakini mjinga alikua akitusanua kuwa sio kila mwanafunzi anaelewa muda Huo huo wala hatoi kifinyo kwa sababu umefeli nooo men!!alikua anajua kuna wanaolewa kabla ata hajaingia Maclass,pia kunae wanaoelewa akiwa class na kuna wajuba wanaoelewa akishatoka class,pia kuna wanaoelewa baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani hasa wakifeli...

Nadhani Mimi nilikua mmoja wao wale waliokua wakielewa baada ya kufeli..Sasa Matalambuli alitoa Test akasema mjinga oote ataepasua 'A' yaani kuanzia 71 hadi 100 anamgei zawadi ya Jax,anamgei ilo li'ten(10,000),,Bas maraia pale wakaanza kupiga msuli wa kuzidi ani alaf me nawadere2 ata sina njaro nao...

Bas tulifanya paper ilo la Mathematics Mjinga akasahihisha siku iyoiyo alaf akagawa mitihani yetu na akasema wataofeli atawalima Sticks za bei yote ani,Yule teacher alikua anapenda sifa kisoro akiamua anakodi walimu wenzie wanakuja kutembeza Ghasia kwa wanafunzi,,sasa akaanza kugawa mitihani Mara Heee mchizi kaanza na jina langu Msomali(Jina langu la utani)!!Watu Mhhhh..Kwamba Msomali ndo kapasua Leo?...

Darasa zima likaguna bhana,,Eroo Shieee tabalai,alienifuatia wapili ni Chaliangu ambae tulikua tunavuta nae wote(Hewa)..Bas watu wakacheka kinyama mle Class,,bas tulipewa zawadi zetu pale ndichi pamoja na hongera za kushanto,kunae mamiloox mmoko anaitwa Farida nilikua namuelewa kichizi but alikua hanitaki kisa sina akili ni mjinga class ukizingatia Marks zangu za somo la Mathematics zilikua ni single digits(1_9),Kiukweli sielewi hadi Leo nilifaulu vipi mitihani ule nika'score 85 na niliujibu correct kabisa ani,,Bas et manzi akasogeza kiti na meza ake karibu namimi na vimaswali vya kiduu mala Oooh unajua Msomali kumbe una akili wewe?umefaulu vipi?ila me nakupenda sana hasa nywele zako natamani zingekua zangu,tangia saiv sisi ni wapenzi,,bas iyo siku nilimdinya kijemedari tangia siku iyo tukawa wapenzi,,watu tuko vizuri sema2 hatupendagi Show Off za kiduanzi...

@NgarenaroBoy.
 
gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,886
2,000
1595591166187.png
 
Msomaliii

Senior Member
Jul 24, 2018
166
250

Ndo ukaamua utumie na ID yangu ktk mifano yako chalii angu! Punguza kuvuta(hewa)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom