Quantity survey Vs mathematics and statistics

Azedi mdede

Member
Sep 19, 2020
16
2
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz🙏🙏🙏
 
hapo ardhi unamaanisha umeChaguliwa BUILDING ECONOMIS???
 
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz
Kwanza lazima ujue hao QS kazi yao ni nn, ushaona jengo au mradi wowote umejengwa? Kama jibu ni ndio basi jua wao ndio wanatumika kuandaa BOQ na kukadiria material zinazotakiwa kwa ajili ya ujenzi... wanafanya kazi bega kwa bega na angineers na architects!!

Pamoja na hiyo pia qs wanahusika na ukadiriaji wa thaman au bei za majengo au mradi!!

Ukiangalia vizuri utaona ina chance nzuri kwenye kuajiriwa na kujiajiri!!

Kama kaka yako nakushauri kuliko ukasome hiyo ya udom nenda kasome Qs ya ardhi!

Narudia tena, KASOME YA ARDHI!!
 
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mada imeishia hapa.
Mtoa mada fuata ushauri huu bila kupoteza muda.
Kwa soko la sasa la ajira ukisomea mathematics au economics umekwenda na maji.
Utatafuta hata kazi za kufagia barabara na hautopata.
 
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz
Hiyo mathematics and statistics ni moja ya koz tunazosemaga "god's know "
 
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz🙏🙏🙏
Quantinty Survey is the best option
 
Kuna bodi inayosajili hii taaluma inaitwa Architects and Quantity Surveying Registration Board (AQRB) = bodi ya usajili ya wabunifu majengo na wakasiriaji majenzi
 
Ili kusajiliwa na bodi hii yapaswa kukamilisha elimu katika taaluma ya ubunifu majengo ama ukadiriaji majenzi, halafu unatakiwa kufanya kazi ndani ya miaka miwili chini ya mtaalamu aliyesajiliwa na bodi. Halafu una fanya mitihani miwili; yaani ORAL interview ukipita written examination ya masomo mawili ya practical problem (16hours) na professional practise (2/3hours) then ukifuzu unadahiliwa kwenye rejesta ya msajili kama registered professional.
 
Ukija hapa ardhi university , uje na akili za kikubwa na sio za foolish age , maana hapa hata ukikacha presentation then , lecture akakuandikia dash , mzee mzee mzee mzee mzee elewa ndani ya box (hapa unaliwa kichwa)
 
Pili hiyo ya UDOM , mbona na yenyewe ipo fresh tu sema , ufaulu wako una matter , + koneksheni (proof: nina rafiki zangu wamesoma hiyo now wapo job , ofisi ya takwimu tanga .)
 
Pili hiyo ya UDOM , mbona na yenyewe ipo fresh tu sema , ufaulu wako una matter , + koneksheni (proof: nina rafiki zangu wamesoma hiyo now wapo job , ofisi ya takwimu tanga .
Nimekupata kaka but chukulia mfano ingekua ni mdogo wako wa familia moja we ungemshauri nn apoo??
 
Back
Top Bottom