Mwalimu wa Hesabu na Fizikia anahitajika

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
610
397
Habari wana JF,

Shule ya sekondari ya ST. MONICA WINO GIRLS inatafuta mwalimu wa Physic na mathematics..

Andika Barua ya maombi na uambatanishe wasifu wako CV kwenda:

OFISI YA MKUU WA SHULE,
SHULE YA SEKONDARY ST. MONICA WINO GIRLS,
S. L. P 69,
MADABA.


au

stmonicawino2019@gmail.com au njia ya whatsapp namba 0626799299
 
Hii inahusu mwalim aliesomea ualim au yoyote mwenye uwezo wakufundisha hayo masomo
Inahusu waalimu, ila kama unahisi unaweza kuapata jaribu, waalimu wa Physic na Mathematic ni wachache mno.

Pia mimi nimetuma japokuwa nimesoma Mechanical
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom