matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  5. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Friends of Simba ndio kiini cha matatizo Simba

    Wakuu, Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata lawama ikitokea ni rahisi kujua ziende wapi. Kwasasa hao Friends of Simba wamepasuka na...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya kuiangusha CCM, nini jibu la matatizo yetu?

    Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni waliondoka miaka zaidi ya 60 iliyopita. Ajabu, bado tunawafuata na kuomba mikopo na misaada toka kwao...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazungu hawa hawa ndio tunaowalaumu kwa matatizo yetu au wengine

  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

    “ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo

    Kwa nini tunaendela kujidanganya kwamba kuendelea ndo kutatusandia kutatua matatizo yetu? Nani ambae hajui kilio cha watanzania ni Katiba mpya, Utekaji, mauji, Ufisadi, rushwa TUME huru ya Uchaguzi. Watanzania kwa sasa wanahitaji kuweka viongozi wao wanao wataka kupitia box la kura sasa...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
  14. Pearce

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

    Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani Kwa bahati mbaya hakuweza...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo baya Kama kujidanganya Wenyewe kwamba Matatizo yetu hatuna Matatizo yapo wasikilizeni Wanataka nini?

    Tuna tabia ya Kujidanganya Wenyewe kwamba hatuna matatizo ni kweli matatizo yapo tena makubwa Sasa hivi wale ambao walikua wanajificha kwenye amani kabla ya Maadamano...
  16. John Sin

    JamiiForums Tanzania Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

    Dar ni automatic sauna Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu. Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hawakujua huyu Mama atakuja kutuletea matatizo makubwa hivi? Wapi Mabeyo?

    Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja kuuwa Raia wanaoandamana ambao ni Watanganyika, Uongozi wa juu umejaa Wazanzibar wenye damu ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Hata kama Magufuli hakuuawa, bado yapo matatizo ya watu kuipora Benki Kuu

    Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki. Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea. Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya. Sasa watu wengi wanasemwa vibaya...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nina muonekano ambao watu wakiniona hupenda kunishtakia matatizo yao hasa wazee

    Nikiwa bar au hata kwenye vijiwe vya wacheza bao wazee hupenda kunishtakia matatizo yao, na muda mwingine watu wa usalama kama askari polisi huwa wanahisi mimi ni mwenzao sasa sijui huwa nina sura ya kikuda?.
Back
Top Bottom