matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi kuutokea kijiwe cha Mwembe Yanga walalama 'Tuna matatizo mengi, wabunge wapo kimya, wabunge wa sasa wote waondoke'

    Wakuu Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  3. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: unasumbuliwa na matatizo ya uzazi? Sperm counts, pre ejaculation, infertility hii ni kwaajili yako

    Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na motility, kujipa nafasi...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu kubwa kusolve matatizo ambayo yapo juu ya uwezo wako

    Katika maisha Kuna moments inafika tunakutana na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine automatically zipo juu ya uwezo wetu. Matokeo yake ni pale mtu anafanya mambo mabaya akidhani ndio solution Hali hii inapelekea msongo wa mawazo, kujiua hata matatizo ya afya ya akili. Hapo utasikia...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  6. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

    Wakuu nadhani mko salama,. Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,. Ni hivi,. Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

    Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
  11. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wenzangu hali si hali nimekwama

    Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba . Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni...
  12. Majitha

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya VETA na jinsi ya kuyatatua

    MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa. Hata hivyo, licha ya umuhimu wake mkubwa, VETA inakabiliwa na matatizo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Binadamu tupo gereza la akili halafu matatizo yapo huru

    Fundi samico nakueleza haya uyatambue. Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu. Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africa’s New Generation. ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY P.O BOX 5079, TANGA. Authors: Jilala Simon N. (Assistant Lecturers in Development Studies and History) and, S.T.Shemhilu, (Assistant Lecturer History) If...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

    Matatizo mapya makubwa Tanzania ni 1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa. 2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini biblia na quruan visitumike kumaliza matatizo ya ufisadi,vita,magonjwa,wizi,n.k duniani??

    Habari, Kama kweli biblia/ukristo na uislam/quruan vina nguvu ya Mungu kwanini vistumike kumaliza matatizo ya vita,wizi,magonjwa,ufisadi,n.k duniani kote na hasahasa Afrika wakati kila leo watu wanajaa makanisani ja miskitini kumuomba Mungu shida ziishe?? Waafrika situkeni mmeshikwa akili
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
  20. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Viongozi hawajihughurishi na matatizo ambayo hayawanufaishi moja kwa moja.

    Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe. Hoja hii...
Back
Top Bottom