Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani
Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa?
Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye amewahi kujikuta kwenye hali kama hii.
Mimi ni mtu ninayependa kusocialize. Ninaamini sehemu kama baa...
Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa.
Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa...
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.
Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya...
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.
Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi.
Are you insane?
Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration)
Faida Zake
-Jino Litadumu kwa mda mrefu
-utazuia kuharibika zaidi kwa jino
-Utatafuna Chakula Vizuri
Utalinda meno mengine yasiharibike
Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako
Nimeambatanisha...
Ndugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini...
Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo,
Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi...
Yaani unajuwa kabisa hicho unacho mshauri hakina afya kwa Taasisi/taifa na kwake pia, Lakini kwasababu ya maslahi yenu binafsi mnafanya. Mambo yakienda ndivyo sivyo mnasema sisi hatuna mamlaka ya kufanya maamuzi. Zigo lote anabeba pekeake
1. Inawezekana kwa sababu umegundua bosi wako upeo wake...
Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
Habari,
Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.
Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.
NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢
NAUMIA SANA...
CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika.
Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.