CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za
 
Omba omba hao
 
hahaaaa balaa sana na mafisiiemu nayo yameangukia kwenye tonetone nayo yanaomba kuchangiwa wakati yameuza kila kitu hapo nchini kwa ajili ya ubinafsi, majizi ni majizi tu yaani tume uchwara yakwao kila kitu chao na upinzani hakuna na bado yanataka yachangiwe yaani majizi ni majizi tu kwa kweli. Kataa wezi NRNE.
 
Wanataka kuhalalisha pesa wanazichota hazina kama walivyotuambia walichota za kukarabati viwanja vya mpira ambavyo walitupora watanzania.
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za
Ulivyomalizia hapo chini inachekesha sana
 
hahaaaa balaa sana na mafisiiemu nayo yameangukia kwenye tonetone nayo yanaomba kuchangiwa wakati yameuza kila kitu hapo nchini kwa ajili ya ubinafsi, majizi ni majizi tu yaani tume uchwara yakwao kila kitu chao na upinzani hakuna na bado yanataka yachangiwe yaani majizi ni majizi tu kwa kweli. Kataa wezi NRNE.
Uchumi wetu unaendeleaje kwani?
 
Back
Top Bottom