mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  2. JamiiForums Tanzania TUWAFAHAMU VIONGOZI WA UMOJA WA MATAIFA (UN) TANGU KUANZISHWA KWAKE✍️🌍🇺🇳

    👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana waandaliwe kuvamia mataifa mengine. Bado muda tunao.

    Hamjambo wote! Hili nitaendelea kulisema kila nikipata nafasi. Kwa sababu najua kile ninachokisema. Nakijua kwa sababu ndio usalama wa nchi yetu na future yetu. Niliitambulisha sera ya uvamizi miaka kadhaa iliyopita. Nikiwasihi viongozi na wale wenye mpango wa kuwa viongozi waitafakari, kisha...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa wadau wanaochangia mataifa mengi kuwa na viongozi wa juu vilaza.

    Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo. Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Africa na Mataifa mengine ni mbingu na ardhi.

    Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo. Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo. Muda wote wenzetu kuanzia kwa watoto wao, wanafundisha, wanazingatia, wanajadili, wanaelekeza maendeleo halisi, ugunduzi...
  10. JamiiForums Tanzania Unapoona JWTZ wanatoa angalizo ujue wazi kuwa waandaaji wa maandamano ni Mataifa ya nje!

    Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana. Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia???? Toka enzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

    Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kati ya mataifa 10 yenye madeni makubwa Afrika

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
  14. JamiiForums Tanzania Online wars kwenye social media dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali ni nyingi sana

    Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  17. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

    ⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
  18. JamiiForums Tanzania Sheikh Jalala: Mabeberu hawatutakii heri,

    Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao. Sheikh Jalala...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
  20. JamiiForums Tanzania Mataifa 10 Yanayoongoza Katika Uzalishaji wa Mafuta Duniani

    1. Marekani- Mapipa milioni 22 Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku. Marekani pia ndiyo watumizi wakubwa wa mafuta ghafi, kutokana na idadi yake kubwa ya watu. Jimbo la Texas ndilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…